Thursday, 25 August 2011
Theme feature, life in FGM culture - Swahili
Hivi majuzi ripoti kutoka meru ziliashiria kwamba ukeketaji upo baada ya wasichana saba kukeketwa na kupatikana katika nyumba ya mhubiri mmoja. Sita sasa wameruhusiwa na wauguzi kurudi makwao,mmoja aliyekuwa mjamzito wa miezi mitatu amesalia katika hospitali hiyo akiuguza majerhana. Haya yamejiri licha ya vita dhidi ya ukeketaji wa wanawake kuendelezwa humu nchini kwa miaka mingi, lakini yaonekana uovu huu au tamaduni kwa jamii zengine ungali unaendelea kwa usiri mkubwa. Na ndiposa tunauliza, ni kumaanisa vita hivi vinaambulia patupu? Au tubadilishe mbinu za kukabiliaa na uovu huu ambao unaendelea kulemaza na kukandamiza wanawake? Huyu hapa Damari Kitavi na taarifa kamili. - VIDEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment